HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 6, 2010

Rais Kikwete amuapisha Mwanasheria mkuu Ikulu leo

Jaji Frederick Werema akila kiapo mbele ya Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuteuliwa kuwa Mwanasheria mkuu wa Serikali leo.Sherehe za kuapishwa kwa jaji Werema zilifanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni.
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi miongozo ya Kazi Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick Werema wakati wa hafla ya kumuapisha iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Picha na Freddy Maro.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad