
Leo ni siku ya kipee kabisa kwa Mdau mkubwa wa Blog hii,Da' Mariam ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.hivyo kwa niamba ya wadau wote wa Blog hii,sina budi kumtakia kina la heri Mdau mwenzetu huyu na Mungu amjaalie maisha marefu na yenye mafanikio makubwa.
Happy Birthday Mariam.
Ahsante kaka Othman Ahsante...
ReplyDeleteThank You Kaka Othman...
ReplyDeleteBy, Mariam..
Nimechelewa ila hongera za basidei yako hongera sana mwenyezimungu atakuepusha na mabaya yote na atakufungulia mazuri na njia nzuri kila kizuri unachoomba. MZ.
ReplyDelete