
hapa ni njia panda ya Himo,huko inakotokea hiyo gari ndogo ni Marangu Holili ambapo ukikatisha kushoto tu hapo unaanza kuitafuta Same.

hapa ni njia panda Segera,inakoelekea ile basi ni mkoani Tanga na kulia anakotokea huyu jamaa ni njia ya kuelekea chalinze.
No comments:
Post a Comment