HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, October 8, 2010

muonekano wa mji wa lushoto leo

Mtu mzima nshatia timu ndani ya mji wa Lushoto Mkoani Tanga kwa shughuli za kinanihiii

njia ya kuelekea mahala alikofikia mzee wa Mtaa Kwa Mtaa,yaani kumestawi migomba ya ndizi kibao hadi raha.
 vibaozz
 njia ya kuelekea makao makuu ya halmashauri ya wilaya ya Lushoto
 Gereza la Lushoto
Boda boda zikisikilizia vichwa.
  
kijani kibichi kimetawala katika mji wa Lushoto.
hizi ndio texi za huku Lushoto na bei yake ni poa kabisa kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

2 comments:

  1. Kila lakheri yingi sana mkuu katika kazi uliyo iendea. Mimi ni mpenzi sana wa Lushoto, asante kwa picha nzuri, na naamini utatuletea mapichazz zaidi ya Lushoto. Asante sana!

    CHIBIRITI.

    ReplyDelete
  2. huu mji safi sana nasikia wajerumani walipapenda sana pia nasikia mahenge kuzuri sana, utata ni usafiri wa kwenda huko kama unavyoona abiria wamejazwa kama vile mifugo !!!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad