Uncle Othman naomba msaada wako kunitangazia mtandao wangu huo kwa wadau
Hello all,
Habari, shikamooni wakubwa zangu,nawakaribisha katika mtandao wangu (Blog) ambao unatoa habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa kila siku pamoja na 'breaking news' habari hususani za watoto na haki zao zinapewa kipaumbele.
PIA UNAKARIBISHWA KUTUMA TAARIFA NA PICHA ZA MATUKIO YOTE!
No comments:
Post a Comment