HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 4, 2010

happy birthday Anko MO

Leo ni siku muhimu sana kwa Mdau Mohamed Hammie Rajab a.k.a Anko MO a.k.a Mzee wa Vijimambo Vya Tanga.Anko MO anayofuraha kubwa sana siku ya leo kwa ndio siku aliyo fanikiwa kutinga katika ulimwengu huu (siku ya Kuzaliwa).Blogu hii inamtakia kila la kheri Anko MO katika maisha yake na mungu amjaalie zaidi na zaidi.

waweza pitia libeneke lake kwa kubofya hiyo link hapo chini.

1 comment:

Post Bottom Ad