hivi ni kwanini hawa jamaa wanaochimba haya mashimozz,hawayafukii kwa muda unaotakiwa pindi wamalizapo kazi zao??maana hili shimozz leo hii itakuwa ni siku na nne liko hivi.sasa sijui wanafikiriaga vitu gani mpaka inakuwa hivi??
shimo hili lipo pale upanga kwenye kona ya kuelekea diamond jubilee holi.
No comments:
Post a Comment