

Maelfu ya watu kutoka pande mbalimbali za jiji la Mwanza ndani ya ccm kirumba.


Mdau wa Clouds TV amabayo kwa sasa iko katika majaribio kwa jijini Dar,akichukua matukio mbalimbali ya tamasha la Fiesta jipanguse 2010.

Wasanii wa kundi la Offside Trick kutoka Zenji,wakiwaimbia wakazi wa kanda ya Ziwa waliofurika kwa wingi katika tamasha la fiesta jipanguse 2010,kuhusu wimbo wao wa bata ambao tayari umekwisazua gumzo kisiwani Zanzibar.

Anaitwa Bell 9,kichwa kingine katika anga ya muziki wa bongofleva kikitokea mkoani Moro,akiwarusha washabiki na wapenzi wake waliofurika ndani ya uwanja wa ccm kirumba kupitia wimbo wake wa Masogange na nyinginezo.kwa picha zaidi tembelea HAPA
No comments:
Post a Comment