Leo hii ametangaza rasmi nia ya kuwania ubunge wa viti maalum Morogoro mjini, kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM). Pia kesho tarehe 19/07/2010 anatarajia kuchukua fomu za kuwania kiti hicho. ELIMU: Kidato cha nne shule ya sekondari Lugalo mwaka 1972 - 1976
KOZI FUPI ZA MAFUNZO ALIZOPITIA
1. Mafunzo ya Uhazili ama secretarial service - Chuo cha Uhazili Tabora.
2. Mafunzo ya kuhudumia watoto wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi kwa manispaa za Ilala na Morogoro 2008.
3. Polisi Jamii - Edema Morogoro.
UZOEFU KATIKA MASUALA YA UONGOZI NA KIJAMII
1. Mwenyekiti wa Diana Women Empowernment kuanzia 2008 hadi sasa
2. Mjumbe wa TASO mkoa wa Morogoro 2008 hadi sasa.
3. Mkurugenzi na mmiliki wa kampuni ya ZAKITIMA DECORATION & CATERING SERVICE
4. Karani wa masjala ofisi ya mkoa wa Morogoro.
5. Katibu muhtasi LEATHER GOODS Morogoro.
NAFASI ZA UONGOZI ANAZOSHIKILIA KATIKA CHAMA
1. Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Morogoro
2. Mjumbe wa mkutano mkuu wa taifa Jumuiya ya wazazi
3. Mjumbe wa Baraza la UWT mkoa wa Morogoro
4. Mwakilishi wa CCM wilaya ya Morogoro, kwenda UWT wilaya ya Morogoro
5. Katibu wa Fedha na Uchumi wa CCM tawi la Nughutu/Kilakala
6. Amekuwa akitumikia chama kwa takribani miaka kumi na tano (15) kwa shughuli mbali mbali za kata, wilaya, Mkoa na taifa.

No comments:
Post a Comment