HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 31, 2010

Wadau

Leo nilipokuwa katika pita pita zangu za mtaa kwa mtaa,nilibahatika kukutana na mdau huyu anaeendeleza libeneke lake na pia kupiga buku huko kwa Bibi (UK),anafahamika kwa jila la Candy Charles Hillaly.mdau huyu anaendeleza libeneke la mambo ya urembo ambapo anapatikana kwa link hii.
http://www.candy1world.blogspot.com/
waweza mtembelea na kuona mambo yake.chini ni swahiba wake wa long taimu anaefahamika kwa jina la Dai.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad