
Muandaaji wa Filamu ya Living Room,Uli Schuppel akifafanua jambo kuhusu filamu yake mbele ya waandishi wa habari waliofika leo katika mkutano uliofanyika katika hoteli ya Sayyeda,Zanzibar

Waandaaji wa Filamu za Watoto (Children Panorama) wakiongea na waandishi wa habari kuhusiana na mpango wao wa kuendeleza vipaji vya watoto nchini.toka kulia ni Robert Clement,Sophie Ngalapi,Charlotte Giese (kutoka Ujerumani),Rose Stuart na Amy Watson (wote wanatoka Uingereza.
No comments:
Post a Comment