HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 7, 2010

Nyota Ya Tz Ing'aayo Ughaibuni

Ukimuona uwanjani akicheza utadhani Edwin Van der Sar wa Man Utd au mzee mzima Fabien Barthez la hasha kwa jina anaitwa Fazle Abbas amezaliwa Tanga, Tanzania na alikuwa best goal keeper mwaka 2005 ktk shule ya popatlal.

Kwa sasa anachezea Semi Professional kwenye club daraja la kwanza ya Tokyngton Manor Football Club kwenye league ya Spartan South Midlands Football League Division 1 UK.

Alipokuwa Tanzania alikuwa ana train na Coastal Union chini ya kocha marehemu Zakaria Kinanda na alicheza na kina Said Muhando.

Tukirudi ktk kabumbu la Kitanzania, Tanzania tuna matatizo ya goal keeper na isingekuwa vibaya kama Uongozi mzima wa Tanzania Football Federation na Coach wa Taifa Stars aweze kumuita kwenye team yetu kwani ana experience ya kutosha kucheza National Team na itasaidia kupunguza Taifa Stars kugeuzwa kichwa cha wandawazimu kila kukicha.
Kwa video za huyu goal keaper bofya hapa.


Kwa mawasiliano naye anuani ndio hii fazleabbas2@hotmail.com

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad