HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 2, 2010

Mrithi Wa Ben Huyu Hapa

Boss mkuu wa Bwawa la Maini (Liverpool) Martin Broughton (shoto) akiwa na Meneja mpya wa Liverpool Roy Hodgsonsasa alipokuwa akitawazwa rasmi kuinoa klabu ya ukweli duniani kote.sasa ndio mambo yanaanza tunajipanga kuanza kulamba vikombe vyetu vyoote tulivyoshikiwa na kina Barca,Intamilani,Chelisii,na Mani yuu na wengine wanaojijua wanavyo au walishakuwa navyo.
Bwawa Hoyeeeeeee........

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad