
vespa zimepangwa na kupangika.

kidampa kikiwa kimekula vichwa katika maeneo ya Malindi mchana wa leo,sijui walikuwa wakielekea wapii??

abiria wakiwa ndani ya chai maharage kuelekea maeneo mbali mbali ya Zenjy.

stendi ya daladala ya Darajani ikiwa bize kwa shughuli za hapa na pale.

wananchi za Zenjy wakiwa markiti kununua bidhaa tofauti tofauti.

soko kuu la Zenjy la Markiti lionekanavyo leo.
Hili ni soko kuu la darajani mzee au marikiti kuu darajani na sio soko kuu la markiti.
ReplyDelete