Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wadau wote ambao wamekuwa katika mstari wa mbele kunisaidia katika mambo ya BLOG hususani MICHUZI (WWW.ISSAMICHUZI.BLOGSPOT.COM) na DA SUBI (WWW.WAVUTI.COM) . Pia nawashukuru wale wote walionisaidia kuweza kuongea ktk ITV, TBC1 na TBC TAIFA kuhakikisha watu wengi wanajua taratibu za uombaji scholarships ughaibuni.
Naomba maoni yenu katika kuwezesha maboresho ya BLOG hii. Pia natoa wito kwa wengi kujiunga na SCHOLARSHIP FORUM (WWW.SCHOLARSHIPNETWORK.NING.COM) ambapo unatakiwa ku-SIGN UP na kuwa member. Mara uwapo member utakuwa unapata scholarship updates kwenye E-MAIL INBOX yako kila ninapoweka taarifa kwenye FORUM na utakuwa na nafasi ya kuweka comment au kuuliza swali na kujibiwa papo hapo.
No comments:
Post a Comment