hiki ni kichochoro kinachotenganisha nyumba na nyumba lakini cha ajabu ni kwamba sehemu hii imefanya ni kama dampo la kuhifadhia taka na maana wa huku wanatupa na wa huku wanatupa,ukiuliza unaambia wao hawausiki na kwa maisha huku uswazi watoto wengi hujichanganya wawapo katika michezo yao.sasa kwa hali hii watoto hao watapona na magonjwa ya milipuko??
Hawa majirani kweli 'hamnazo'.
ReplyDeleteHawana akili ya kuwaza kuhusu mlipuko wa magonjwa hapo na kuona watakaoathirika ni wao wenyewe?
Kweli umasikini wa akili ndiyo umasikini mbaya kuliko umasikini mwingine wowote!