Kamera ya Mtaa Kwa Mtaa leo imemnasa huyu jamaa akiwa amepanga madumu ya Oil Chafu tayari kwa kwenda kuipiga bei.inasemekana oil chafu ni dili sana hapa jijini japo haikufahamika kwa haraka kazi inayofanyiwa oil hiyo.
No comments:
Post a Comment