kutoka kulia ni Dewji,Murtaza Mangungu na Kaburou siku ya fainali ya Singida na Lindi katika uwanja wa Uhuru jijini Dar.hapo Kaburou alikuwa akimbeza Murtaza kwa kumwambia leo umekula kichapo cha maana cha mabao 3 - 0.
No comments:
Post a Comment