
wananchi wa mji wa Morogoro wakiwa wamepanga foleni ya kuweza kupata mafuta ya aina ya Diesel kwa ajili ya matumizi ya magari na mashine.haikufahamika mara moja sababu ya kuwafanya watu hawa kupanga foleni katika kituo hiki cha mafuta ili hali vituo viko vingi na havina foleni kama hivi.
No comments:
Post a Comment