
hivi huu utaratibu wa kufanya usafi katika mabarabara ya hapa mjini uko vipi??maana leo hii nimewakuta wafanya usafi hawa katika barabara ya Uhuru wakiwa mawesimamisha magari ili waweze kusafisha eneo hilo la barabara.sasa nimeshindwa kuelewa inakuwa vipi??

hapo wakimtukana huyo mwenye daladala baada ya kupita katika hiko eneo walilokuwa wakisafisha na kuwafanya wakaenda pembeni kwa kuhofea kugongwa na gari hilo.
No comments:
Post a Comment