HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 22, 2010

Miss Tanga 2010 ni Anna Kiwambo

Anna Kiwambo akiwa na washindi wengine, mshindi wa pili alikuwa ni Jari Mure, wa tatu ni Zuleha Mrisho. Nafasi ya nne alichukua Asia Gumbo na nafasi ya tano alinyakua Grace Joseph.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad