HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 18, 2010

La Mbagala Leo Jeupeee....

yaani hadi linapendeza kuonekana.

2 comments:

  1. kwa muonekano kweli linapendeza. lakini kwa bei za mafuta hii si habari njema. zidisha na uchekechuaji wa hayo mafuta, manake ununuzi wa vipuri uko juu. na kumbuka haya ni mabasi ya mikopo. mwisho wa siku mjasiriamali mzalendo anayetaka kutoka kimaisha, anashindwa kuulipa mkopo, nyumba yake ya rehani inauzwa, na anakuwa masikini kuliko alivyokuwa kabla ya kuanzisha mradi wa usafiri jijini! kwa namna fulani kubwa, umasikini wetu tunauzidisha wenyewe, hususan kwa kuwalea wanaochangia kuongeza gharama za maisha kwa wengine wetu kama vile wachakachuaji!

    ReplyDelete
  2. Liliharibika sasa likaanzia route njiani, yaani hapo lilipo likifika kituo kinachofuata linajaa lote

    ReplyDelete

Post Bottom Ad