HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 12, 2010

Kundi Jipya La Wanaume Limetoka na "Poa Tu" Wakishirikiana Na Chid Benz

kundi jipya la WANAUME.


Habari Zenu Wana Ndugu,Naimani Wote Tupo Salama Na Wazima Wa Afya.Napenda Kuwafahamisha Lile Kundi Jipya Lijulikanalo Kama WANAUME Ambalo Linawakilishwa Na Vijana Sita (6) Ambao Ni:-
1.RICH ONE
2.DAZ P
3.MZIMU
4.KAKAMAN
5.A-MAN
6.JUMA JAZZ
Limeachia Single Yao Ya Kwanza Inayokwenda Kwa Jina La POA TU! Waliyomshirikisha Msanii Bora Wa Hip Hop Nchini Tanzania Kwa Miaka Minne Mfululizo CHIDI BENZ Na Iliyotengenezwa Katika Studio MPOAFRIKA Chini Ya Producer BENNY MWAMBA...Ukiwa Kama Mdau Na Kuthamini Umuhimu Wako Katika Kuleta Maendeleo Katika Muziki Huu Wa Kizazi Kipya Hapa Nchini Kwetu Tanzania Tumeona Ni Vizuri Kukutaarifu Na Kukuambatanishia Na Hiyo Nyimbo Ili Kupata Support Kubwa Kutoka Kwenu.
Tunatanguliza Shukrani Kubwa Sana Na M/MUNGU Atujaalie Wote.AMIN
Bila Kusahau Dua Zenu Zote Ziende Kwa Team Zote Za Africa Zinazoshiriki WORLD CUP 2010 Huko South Africa. GO AFRICA IT'S OUR TIME!!!

Kwa Niaba Ya Msemaji Mkuu Wa Kundi

KAREEM SAAD.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad