HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 28, 2010

Kitu Cha Ukweli Hiki,Hebu Kicheki


Tangu nilipomsikia Afande Sele kwa mara ya kwanza kabisa nilifahamu kuwa muziki hatimae umepata wa kuutumikia. Siku zote huyu mshkaji amekuwa na busara zilizomshinda umri na umbo lake.

Katika wimbo huu wa "Mwisho wake Lini?", mkali mwingine, "Tycoon", anamshirikisha mkali wa rhyms na kwa mara ya kwanza kabisa tangu mwaka huu uanze tunapata kibao ambacho kinatukumbusha sisi ni akina nani, tumetoka wapi, tuko wapi, na wapi tunakwenda.

Imeletwa kwetu na BABAKUJA wa FOTOBARAZA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad