HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, June 27, 2010

Biashara Asubuhi,Jioni Mahesabu

jamaa anaefanya biashara ya kuuza chenji akipanga biashara yake asubuhi ya leo mitaa ya kati,inasemekana biashara hii inalipa sana siku hizi na ndio maana vijana wengi wameamua kujimix katika biashara hii kama aonekanavyo msela huyu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad