HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 4, 2010

Washalamba Mfuniko!!!

Leo nimekatiza katika kimtaa hiki cha Mtendeni ambacho kinakutana na mtaa wa Libya street na kukuta hili shimo liko wazi,nafikiri wazee wa kazi washakipitia kwa kukilamba.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad