HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 23, 2010

vimizinga vingine..!!

msela aliruka kama anaruka viunzi vile,baada ya hilo daladala kutaka mfanyia kitu mbaya.
msela akicheki kama chombo chake kimeumia au vipi.
alipoona kiko poa,akapanda zake na kuendelea na safari zake huku daladala likiwa limesimama pale pale.sijui dereva alikuwa anafikiria kama ameshafanya uharibifu na mkwanja haujakaa sawa??maana hauteremka kabisa kwenye gari lake.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad