HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 1, 2010

Stars Yashindwa Kuwika Mbele Ya Wanyarwanda

kikosi cha Stars
Kikosi cha Rwanda (Amavumbi)
Mrisho Ngasa akiizitikisa nyavu za wana Amavumbi katika mchezo wa kuwania tiketi ya kucheza fainali za Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (CHAN) uliofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1.
Beki wa timu ya taifa ya Rwanda, Nghabo Albert akimiliki mpira huku akizongwa na mshambuliaji wa Stars, Juma Jabu katika mchezo wa kuwania tiketi ya kucheza fainali za Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (CHAN) ulliofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1
benchi la ufundi la Stars likionekana kukosa raha baada ya timu ya Rwanda kuongoza kwa bao 1 kabla ya kusawazishwa kwa bao hilo na winga machachari kabisa kwa hapa nchini Mrisho Ngasa na kufanya matokoe yawe 1-1 mpaka mpira unamalizika.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad