HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 27, 2010

Miss Dar Inter College Sasa Kumekucha

Warembo wanaoshiriki kinyang'anyiro cha kumsaka Miss Dar Inter College inayofanyika usiku wa leo katika kiota cha klabu Bilicanas wakiwa katika picha ya pamoja walipokuwa wakimalizia mazoezi yao jana jioni.mshindi wa kwanza katika shindano hili ataondoka na kitita cha sh. 1,500,000/- taslim huku wapili akipata 1,000,000/- na wa tatu 500,000/-.shidnano hili linatizamiwa kufanyika kiutofauti kabisa kwani warembo wao wamejipanga vya kutosha na wajiani.hivyo basi fika klabu Bilicanas na buku kumi yako ili uweze kushuhudia mwenyewe na si kusimuliwa tena.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad