HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 28, 2010

Miss Dar Inter College 2010 ni Rose John

Mshindi wa Miss Dar Intercollege ,Rose John kutoka chuo cha Ustawi wa Jamii (kati) akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili,Cassiana Milinga kutoka chuo cha biashara CBE (kulia) na mshindi wa tatu Marylidya Boneface nae kutoka chuo cha Ustawi wa Jamii. Miss Dar Intercollege 2010,Rose John akiwa pamoja na wenzake alioingia nao katika tano bora,toka kulia ni Joyce Baluhi ambaye ameshika nafasi ya nne,Cassiana Milinga ameshika nafasi ya pili,Marylidya Boneface nafasi ya tatu na Agather Killala nafasi ya tatu.

tano bora.
timu nzima ikisubiri kauli ya majaji...
Mratibu wa Miss Dar Intercollege,Vicky Kimario (kushoto) akiwa pamoja na mama wa mitindo Tanzania,Mama Asiah Idarous ambaye ndie aliefanya kazi kubwa ya kuwapendezesha warembo hao siku ya leo wakiwa katika picha ya pamoja na warembo watatu bora.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad