Mkuu naomba msaada wako unirushie hili tangazo la kumbukumbu ya mwaka mmoja toka mama yetu mpendwa kututoka.
Ni mwaka mmoja itakapofika tarehe 29 may 2010 toka ututoke hapa duniani na kututangulia kunako haki,tunakuombea kheri na baraka tele upumzike kwa amani,na mapenzi yako wa watoto wako,wajukuu zako na ndugu zako,jamaa na marafiki kamwe uwezi sahaulika na daima utakumbukwa milele.
Kutakuwa na misa ya kumbukumbuka mama yetu Mary Donata Watondoha kwenye kanisa katoliki la ukonga na misa itakuwa saa kumi na mbili asubuhi.
No comments:
Post a Comment