HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 25, 2010

Je, Waweza fahamu Ni Mahala Gani Hapa??

5 comments:

  1. Hapa ni Lindi Street Kariakoo, halafu Ankal mdogo uwe basi unatoa majibu kwa maswali kama haya unayouliza ili angalau tujue kama tumepatia au tumekosea au vip Ankal??

    ReplyDelete
  2. Hapo Fire bana nipe zawadi yangu Eboooh

    ReplyDelete
  3. hapo ni maeneo ya benjamin willium mkapa high school, teh teh nimeondoka bongo miaka mitano ila bado napakumbuka,kushoto hapo ni ben mkapa high school, zamani city high school

    ReplyDelete
  4. mtaa wa lindi nyuma ya shule ya uhuru wasichana, picha imepigwa kutoka alharamain na hapo mbele ni shule ya benjamin mkapa

    ReplyDelete
  5. hapo ni hapo ulipopigia picha

    ReplyDelete

Post Bottom Ad