HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 15, 2010

Fundi Mzigoni

Kamera ya Mtaa Kwa Mtaa leo imemkuta Fundi Selemela huyu huyu akipiga zake msasa moja ya mbao alizokuwa nazo huku akiwa hana hata wasi wasi wowote na bila kujali usalama wa Afya yake kutokana na vumbi hilo la Mbao.sasa sijui kalizoea ndio maana hana hata vifaa vya kujizuia na vumbi hilo??
au Vumbi hili halina Madhara kwake??maana cheki linavyomtimkia usoni kwake.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad