Vogie likijifikiria kukatiza katikati ya dimbwi."Sasa kama njia nyingine imejaa kwa foleni nifanyeje??aahh mimi nakatisha tu hapa hapa."jamaa kafikiria kaona ni bora achanje hapa kuliko kwenda kuunga tela katika hilo nyororo.
No comments:
Post a Comment