HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 17, 2010

Wadau

toka shoto ni mdau wa First Assurance(jina limenitoka),Mie wa Mtaa Kwa Mtaa Blog na mwisho ni Anko Taji Liundi a.k.a anko T.tulipokutana mitaa ya kati usiku wa kuamkia jana.
Mdau Paul Kirigini na Mkewe Farida
Mie na Nondo yangu nikiwa na Dj Heriel Kacheje pamoja na mtasha alieomba kupata taswirazz nasi katika mnuso flani hivi mitaa ya kati.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad