HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 27, 2010

Pati Ya Marafiki Home Kwa Jide na Gadner

Mie Na Hasheem toka kulia ni Mdau,Frank na George
Sam,Bint Komando,George
Mrembo,Mie kati na Da' Jide
Hasheem na Captain
Edger Na Venture
Fred na Mshkaji wake pamoja na wadau wengine wakiwa katika bangaloo la Gardiner na Jide
Story za hapa na pale zilitawala kataka pati ya marafiki iliyoandaliwa na Gardiner na Jide nyumbani kwao Kimara.toka kulia ni Super,Baba mwenye nyumba,Urio pamoja na Gerald ..

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad