
hapa ni kwenye kona ya mtaa wa Lumumba na Mkunguni street,pale alipokuwepo yule jamaa aliekuwa akiuza pafyumu za kila aina.(najua kina dada wa jiji la dar watakuwa washanipata).hii ni katika muendelezo wa kupisha vikwangua anga a.k.a vipendezesha jiji.
SERIKALI MBONA HAIFIKIRII WAPI PAKUWEKEA MAGARI? OTHMAN UKIPATA MUDA HEBU WAULIZE WATU WA NYUMBA TANZANIA KAMA HAPO ZINGEWEKWA GARI NA KISEHEMU CHA BUSTANI INGEPENDEZA KWELI. au WEWE UNAONAJE KIDOGO UNGEKUWA UNATUJIBU COMMENT HAHAHA.
ReplyDelete