
ajali hii imetokea jioni hii katika makutano ya barabara ya mtaa wa lindi na Arusha wakati mwenye hilo gari aina ya DCM lenye nambari za usajili T711 AKA alikuwa katika barabara ya lindi akitokea Kariakoo na huyo mwenye hiyo Cary yenye nambari za usajili T565 BBL alikuwa akitokea mtaa wa Arusha kama picha hii inavyoonyesha hapa.na kila mmoja alikuwa katika harakati za kutaka kumuwahi mwenzie kupita katika sehemu hiyo na matokeo yake ndio ikawa hivi.

mashuhuda kama kawa.ni mtu mmoja tu ndie aliejeruhiwa katika ajali hii ambaye alikuwa kakaa nyuma ya bodi ya Cary hiyo.


Askari wa usalama akichora mchoro wa ajali huku la mizoga likifanya kazi yake.

afande akiwa katika eneo la ajali.

harakati ya kuyaondoa magari hayo ikifanyika.

hayaaa tweeendeeeeee
No comments:
Post a Comment