
Mdau Pervez akiwa pamoja na Foibe wakiwa katika harakati za kuwasha mshumaa wa birthday

Flowers ,shoto ni Rihama na kulia ni Frolah wakiwakilisha wakiwakilisha na mzee wa Mtaa Kwa Mtaa katika birthday part ya Foibe iliofanyika usiku huu pande za mikocheni kwa Warioba.

washkaji,toka shoto ni mie wa Mtaani,Deo Hugo,Donsima Costa,Michael Carter pamoja na
Gillsant Mlaseko wote kwa pamoja tukiwakisha katika birthday part ya dada Foibe (hayuko pichani) pande za mikocheni.
Mie,Frolah,Foibe,Rihama,Ahmad (Jiachie Blog) pamoja na mdau tukiwa katika picha ya ukumbusho wa hepi besdey ya Foibe pande za mikochoni usiku huu.
safi sana, huu ndo umoja na ushirikiano unaotakiwa kwa vijana wa age hii. pig up and happy birthday to dada Foibe
ReplyDeleteDah inapendeza kuona wana FB tunasapotiana sehemu mbalimbali....Hivi ndivyo inavyotakiwa..Happy Bday Foibe!
ReplyDeleteSarah Peter