HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, March 16, 2010

Tahadhali Kwa Wadau Wa Shamim Zeze

KUNA TATIZO LIMEJITOKEZA NASHINDWA
INGIA KWENYE EMAIL YANGU YA YAHOO YA
SHAMYOMY@YAHOO.COM
NAHISI NIMEHACKIWA SABABU INAONEKANA IKO ONLINE NA MTU AKISEMESHWA ANAJIBU.....ILA SIO MIMI

ANGALIZO :: NAOMBA YEYOTE ASIJE AKARUBUNIWA NA YEYOTE KUPITIA EMAIL HIYO YA
SHAMYOMY @YAHOO.COM

kwa sasa tumieni
Asanteni
Shamim Mwasha 'Zeze'

1 comment:

  1. Pole Da Zeze
    Mimi nimekuwa mmoja wa wanaokuona saana online lakini ninapokusalimu sibahatiki kujibiwa na huyo "ZEZE MPYA"
    Pole sana Dada na asante kwa taarifa.
    Asante Kaka kwa kutusambazia ujumbe huu pia
    Blessings

    ReplyDelete

Post Bottom Ad