HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 27, 2010

Soko La Mchikichini Mchana Wa Leo

ukishuka tu katika kituo cha daladala cha boma ukiwa unatokea Magomeni unakutana na wamachinga hawa wakiuza zao viatu kwa bei katika ya 200 hadi 1000.
mishe mishe kwa kwenda mbele katika soko la mchikichini
ndani ya soko la mchikichini mchana wa leo
sagula sagula ya pamba za kutokea jioni na mchana,washkaji kibao hujipatia mambo mazuri katika sagula sagula hii,maana ukiwa na buku mbili tu unatoka sokoni hapa mfuko ukiwa umejaa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad