HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, March 30, 2010

Shkaki Limebambwa!!

Askari wa usalama barabarani kituo cha Migori Mtera katika wilaya ya Iringa vijijini aliyefahamika kwa jina moja ya Peter akiwa amekamata piki piki ambayo ilikuwa imevunja sheria za usalama barabarani kwa kupakizana zaidi ya abiria wawili huku wakiwa hawajavaa kofia ya kuzuia michubuko iwapo watapata ajali , madereva wengi wa piki piki katika eneo hilo wamekuwa wakiendesha bila leseni wala kuvaa kofia kwa madai kuwa chombo hicho ni mali yao haina haja na kuwa na leseni na kuwa wanaweza kupakizana idadi yoyote.

Picha hii kwa hisani ya Francis Godwin

2 comments:

  1. Hapa mkuu umechanganya kidogo,Mtera ipo Dodoma, na Migori ipo Iringa, ila zinapakana. Sasa sijui ni mimi nakosea? Lakini maeneo haya ni yangu sana, nimefanya kazi maeneo hayo.

    ReplyDelete
  2. Nafurahi sana kwa picha hizi mkuu, asante sana kwa kuturudisha Home kwamapichazzz. Na hongera zangu sanaaaa.
    Chibi.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad