HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 24, 2010

Mwendo Mdundo

hawa jamaa ndio wauzaji wakuu wa Mayai hapa mjini na wanaumoja ile mbaya sio huu tu wa kuongozana bali hata wa kupigana tafu kutafuta soko la Mayai wanayouza.ila tatizo lao ni wakorofi sana Barabarani na wanapenda sana kushindana na Magari.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad