HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 13, 2010

Meli Ya Mv Serengeti Yawaka Moto

Habari zilizotufikia hivi punde toka pande za Zanzibar,zinaeleza kwamba Meli ya Mv Serengeti ifanyayo safari zake ndani ya Bahari ya Hindi,inawaka moto sasa hivi katika bandari ya Zanzibar ilipokuwa ikitaka kuondoka kuelekea kisiwani Pemba.
Aidha Kikosi cha zima moto Zanzibar kimewasili eneo la tukio na kuweza kufanya juhudi za kuuzima moto huo.tutaendelea kujishana kadri taarifa zitakavyokuwa zinatufikia.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad