Sijui ndio masika ishaingia??maana kila siku lazima kidondoke kimvua cha kinma namna kama hivi inavyoonekana hapa pichani.hii ni mchana wa leo.
Nahisi nchi yangu ili-dizainiwa iwe ya summer peke yake. Maana ka-mvua uchwara kanalivundisha jiji. Na huko Mwanza nako ndio usiseme. Ikinyesha tu wanapata chance ya kuachia 'disposable" toilets zao.
ReplyDeleteYaani ni nchi ya majira ya kiangazi tuuuuuu.