
leo asubuhi Mdau wa Mtaa Kwa Mtaa kakutana na hii huko maeneo Tandale,huyo jamaa anaeonekana hana nguo alikamatwa na sungu sungu kwa kosa la kutembea bila nguo sio kwamba ni chizi wala nini ila basi tu kaamua kuulamba suti yake aliozaliwa nayo.nguo zake ni hizo hapo kashika huyo jamaa wa nyuma hapo wakati wakimpeleka jamaa sehemu ya usalama ( kituo kidogo cha polisi tandale).ama kweli uswazz ni vituko mtindo mmoja.
kazi kwelikweli!
ReplyDelete