Bonyeza Picha moja wapo kuona maelezo yaliyomo katika Picha hiyo.
Kwa muda sasa Google wamekuwa wakiendesha huduma ya Google Buzz. Hii ni huduma ya kutandaa na jamii kama vile ilivyo mitandao jamii ya Twitter na Facebook. Huduma hii inapatikana kwa watu wote wanaotumiaGmail.
Kuna vielelezo vya ufafanuzi katika picha wa namna ya kutumia google buzz. Link ya habari kamili na picha ni:http://bit.ly/deimKi
No comments:
Post a Comment