Kip left hizi zipo katika barabara ya United National Road,mbele kidogo ya kona ya kuingia katika geti kuu la Hospital kuu ya Taifa ya Muhimbili.picha hizi nimepiga mapema leo nilipokuwa katika libeleke langu la mtaa kwa mtaa.
No comments:
Post a Comment