
huyu mtoto anachezea maji machafu yapitayo katika kimfereji kidogo kitokacho ndani ya hiyo nyumba,ambacho kimetengenezwa kiujanja ujanja ili kupeleka maji hayo machafu katika mtaro mkubwa.kitu ambacho ni hatari sana kwa afya ya mtoto huyu.sasa sijui wale maBwana nanihii huwaga hakatizagi huku??
No comments:
Post a Comment