Hii ndio Bongo Daslam bwana yaani unachoona hakiwezekani sehemu nyingine,basi hapa kinawezekana .hebu cheki picha hii halafu utapata jibu na kujua nini ninachokiongea.eneo hili silitaji jina wala nini maana najua kabisa kuwa wanafahamu eneo hili.
Inapendeza sana yani wabongo hatuna usafi wa nchi na jiji letu aibu tupu tu.
ReplyDelete